Njombe wamshukuru Rais Samia

HomeKitaifa

Njombe wamshukuru Rais Samia

Halmashauri ya Njombe mji ni miongoni wa Halmashauri ilionufaika na fedha za mpango wa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19.

Miongoni mwa shule zilizojengewa madarasa na kupata madawati katika Halmashauri hiyo ni shule ya Mabatini na Kifanya. 

Shule ya Sekondari Mabatini ilijengwa enzi za ukoloni miaka ya 1928, Shule hiyo imekua na upungufu wa madarasa kutokana na ongezeko la wanafunzi ukilinganisha na wakati inajengwa. 

Kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madarasa Rais Samia amepleka pesa ambazo zimesaidia kujenga madarasa 5 ili kukabiliana na changamoto hiyo. 

Kifanya na Mabatini wamepata madarasa mapya ya kisasa ambayo yanawavutia wanafunzi kusoma, Wanafunzi wameshukuru na kuelezea furaha yao juu ya ujenzi wa madarasa hayo lakini pia wananchi wa Njombe wamemshukuru Rais Samia kwani sasa wnaawaona watoto wao wakisoma katika mazingira mazuri. 

Ujenzi huo wa madarasa umeifanya shule ya Kifanya na Mabatini kutokua na Changamoto za madarasa lakini pia Halmashauri ya Njombe na Mkoa wa Njombe kwa Ujumla. 

Mradi huu wa ujenzi wa madarasa umefayika nchi nzima katika Halmashauri zote. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu amemwagiza Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene kuandaa kanuni zitakazoelekeza jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa

error: Content is protected !!