Obama akutwa na Covid-19

HomeKimataifa

Obama akutwa na Covid-19

Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama amethibitisha kukutwa na Covid-19 taarifa aliyochapisha kwenye ukurasa wa twitter na kusema anawakumbusha watu kuchanja kwani Corona bado ipo lakini pi alisema mkewe Michelle yeye akukutwa na kirusi hicho.

 

error: Content is protected !!