Tag: Bunge la Tanzania

1 44 45 46 47 48 78 460 / 775 POSTS
LaLiga waipongeza Yanga SC

LaLiga waipongeza Yanga SC

Yanga yafikia Next level msimu huu hadi kufikia hatua ya kuchapishwa kwenye ukurusa wa Laliga na kupewa pomgezi kwa ushindi wa Kombe la AFSC. & [...]
Sh8 bilioni zatengwa kusomesha madaktari

Sh8 bilioni zatengwa kusomesha madaktari

Serikali imetenga Sh8 bilioni kwa ajili ya kusomesha madaktari na wataalamu ndani na nje ya nchi. Imesema kati ya fedha hizo, Sh3 bilioni zitatumik [...]
Njia za kujikinga na kupasuka midomo na ngozi kukauka

Njia za kujikinga na kupasuka midomo na ngozi kukauka

Ni kawaida kila ifikapo mwezi Juni hadi Agosti kila mwaka, maeneo mengi nchini Tanzania kuwa na hali ya baridi na upepo.  Hivi karibuni, Kaimu Mkur [...]
Sababu ya Mabeyo kuteuliwa na Rais Samia

Sababu ya Mabeyo kuteuliwa na Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Hifadhi ya Eneo la Ngoron [...]
Mapacha watenganishwa salama

Mapacha watenganishwa salama

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetoa taarifa kuhusu upasuaji wa mapacha walioungana ambao leo Julai 1,2022 wamefanyiwa upasuaji wakuwatenganisha na [...]
Watalii 320 watua Zanzibar

Watalii 320 watua Zanzibar

Miaka miwili baada ya watalii kutoka nchini Italia kusitisha safari zao kwenda Zanzibar kutokana na janga la Uviko-19, safari hizo zimerejea baada ya [...]
Magazeti ya leo Julai 1,2022

Magazeti ya leo Julai 1,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 1,2022. [...]
Rais Samia kumteua tena Mabeyo

Rais Samia kumteua tena Mabeyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kwamba CDF mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, anataria kupangiwa kazi nyi [...]
Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30

Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30

Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly amehukumiwa jana JUni 29,2022 kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyot [...]
Wanaotuma ujumbe wa jiunge na freemason wakamatwa

Wanaotuma ujumbe wa jiunge na freemason wakamatwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao. Kukamatw [...]
1 44 45 46 47 48 78 460 / 775 POSTS
error: Content is protected !!