Tag: Freeman Mbowe
Vipipi vyapigwa marufuku Zanzibar
Mamlaka ya Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imepiga marufuku bidhaa aina ya Lump Sugar maarufu ‘Vipipi utamu’ vinavyodaiwa kutumiwa na baadhi ya wanaw [...]
Magazeti ya leo Januari 21,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Januari 21,2023.
[...]
Miradi 630 ya kampuni za India yasajiliwa kuwekeza Tanzania
Miradi mipya 630 ya uwekezaji inayotekelezwa na kampuni za India yenye thamani za dola 3.68 bilioni imesajiliwa katika mwaka wa fedha 2021/2022 kupiti [...]
Wahadzabe, Wadatoga wapinga tozo
Jamii ya Wahadzabe na Wadatoga wanaoishi wilayani Karatu katika Mkoa wa Arusha, wametishia kuyahama makazi yao kwa kuwa halmashauri ya wilaya hiyo ime [...]
Dar Group Hospital chini ya usimamizi wa Serikali
Serikali imechukua usimamizi wa Hospitali ya Dar Group na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuwa Hospitali hiyo sasa itasimamiwa na Taasisi ya Mo [...]
Maana ya video ya Simba ya Fei Toto
Mchezaji wa Yanga SC , Feisal Salum maarufu kama "Fei Toto" ameweka video ya mnyama simba yenye maneno ya lugha ya kifaransa jambo lililoibua hisia to [...]
Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro
Watu 48 wameokolewa katika mafuriko na kuhifadhiwa ofisi ya Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro kupatiwa msaada wa dharura na serikali, kufuatia mvu [...]
Bwawa la Nyerere lazidi kujaa
Ujazo wa maji katika bwawa la kufua ueme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi jana ulifika mita 108.31 kutoka usawa w [...]
Magazeti ya leo Januari 10,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 10,2023.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Januari 9,2023
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Januari 9,2023. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v=NVOuH [...]