Tag: Freeman Mbowe
Magazeti ya leo Januari 9,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Januari 9,2023.
[...]
TFF: Feisal bado mchezaji wa Yannga
Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya TFF imeamua kuwa Feisal Salum Abdallah ni mchezaji halali wa Young Africans kwa mujibu wa mkataba wake na t [...]
Rais Samia atengua uteuzi wa Diwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuw [...]
Zaidi ya watainiwa 270 wafutiwa matokeo darasa la nne, kidato cha pili
Udanganyifu katika vyumba vya mitihani umewaponza watahiniwa 279 wa kidato cha pili na darasa la nne mwaka jana kutokana na Baraza la Mitihani Tanzani [...]
Latra yatangaza nauli mpya za mwendokasi
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya za teksi mtandaoni, pikipiki mtandao na Mabasi yaendayo Haraka (BRT) maarufu mwen [...]
Rais Samia: Hakuna atakayekosa shule
Wakati shule za msingi na sekdnoari nchini zikitarajiwa kufunguliwa Jamatatu ijayo, Rais Samia Suluhu amesema hakuna mwanafunzi atakayekosa nafasi ya [...]
Mrithi wa TICTS apatikana
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepata mtoa huduma w amuda, Kampuni ya Adani Zone Limited (APSEZ) ya nchini India atakayefanya kazi ya kuondoa maka [...]
Top 6 Watanzania waliong’ara 2022
Kama hatua za binadamu zinavyopishana pale atembeapo ndivyo maisha ya binadamu yalivyo. Wakati mmoja akienda mbele mmoja hubaki nyuma na Waswahili wa [...]
Sangara wapungua Ziwa Victoria
Samaki aina ya sangara wamepungua katika Ziwa Victoria kutoka tani 537,479 mwaka 2020 hadi tani 335,170 kwa mwaka 2021.
Ofisa Uvuvi wa Mkoa wa Mwan [...]
Tanzania 10 bora nchi tajiri Afrika 2022
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inashika namba 9 kwenye orodha ya nchi 10 tajiri kwa mujibu wa ripoti ya mtandao wa Zoom Afrika kwa mwaka 2022, Tanza [...]