Tag: Freeman Mbowe
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Caroline Kitana Chipeta kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini [...]
Rais Samia atuma salamu za pole Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa wafiwa waliopoteza ndugu kufuatia ajali iliyotokea Mtwara na kusababisha vifo vya watu 10 wakiwemo [...]
67.2% ya wakazi wa Dar wana uzito uliopitiliza
Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha kwamba asilimia 67.2 ya wakazi wa Dar es Salaam wana uzito kupita kiasi huku wengi wao wakiwa ni wanywaji wa pombe [...]
Nafasi za kazi TOA
Katibu Mkuu wa TOA anatangaza nafasi ya kazi ya Afisa Miradi, atakayefanya kazi na Taasisi ya TOA ya mkoani Dodoma.
[...]
TANZIA: Kiroboto afariki dunia
Mpiga matarumbeta maarufu King Kiroboto OG amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kudondoka akiwa kwenye shoo katika Hoteli ya Giraffe, Temeke [...]
Bashungwa ashtukia upigaji wa fedha Kilosa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (TAMISEMI) Innocent Bashungwa ameagiza uchunguzi wa haraka wa madai ya ubadhilifu w [...]
23.3% kufafanuliwa kesho
Serikali imesema Jumanne Julai 26, 2022 itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhus [...]
Rais wa Burundi mwenyekiti mpya wa EAC
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amechukua rasmi nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyat [...]
Msigwa: Serikali itatoa ufafanuzi
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema serikali itatoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyotoka katika mishahara ya mwezi Julai, 2022 [...]
Tanesco yasitisha mfumo wa Nikonekt
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema linafanya maboresho ya mfumo wa Nikonekt kwa siku mbili leo na kesho.
Taarifa ya ofisi ya uhusiano Tan [...]