Tag: Freeman Mbowe

1 79 80 81 82 83 99 810 / 984 POSTS
Steve : Natoa masaa 48

Steve : Natoa masaa 48

Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT), Steve Nyerere ametoa masaa 48 kwa Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA na wasanii w [...]
Kaburi la vijana wengi

Kaburi la vijana wengi

Vijana wengi wamekuwa wakishindwa kutoka kwenye kaburi la kupata mafanikio na kusonga mbele katika maisha na hii ni kutokana na kuwa ndani ya kifungo [...]
Mtoto alawiti wenzake 19

Mtoto alawiti wenzake 19

Mtoto mwenye umri wa miaka 14 (Jina linahifadhiwa) mkazi wa Manispaa ya Iringa, anashikiliwa na Polisi kwa madai ya kuwalawiti watoto wenzake 19 kwa n [...]
Pastor Myamba apata ajali

Pastor Myamba apata ajali

Emmanuel Myamba maarufu kama Pastor Myamba ametoa taarifa ya kupatwa na ajali mbaya yeye pamoja na familia yake wakati wakielekea kwenye ibada. Ame [...]
Kanye West afutwa Grammy 2022

Kanye West afutwa Grammy 2022

Rapa kutoka nchi Marekani Ye au Kanye West amefutwa kwenye orodha ya wasanii wanaotarajia kutumbuiza kwenye Tuzo za Grammy 2022 kutokana na matendo ya [...]
Diamond:Nina mtoto Mwanza

Diamond:Nina mtoto Mwanza

Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz, amekiri kuwa mtoto mwingine jijini Mwanza ukiachilia mbali wato [...]
Mbowe: Niliyoteta na Rais

Mbowe: Niliyoteta na Rais

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amewaeleza na kuweka wazi waandishi wa habari mambo makuu matatu aliyozungumz [...]
MGM yaungana na Amazon studios

MGM yaungana na Amazon studios

Amazon imefunga rasmi jana Mach 17,2022 mkataba wake wakuinunua kampuni ya MGM kwa kiasi cha fedha dola bilioni 8.5  na kusema kwamba hakuna mfanyakaz [...]
Romy Jons aomba msamaha

Romy Jons aomba msamaha

Dj na kaka wa msanii Diamond Platnumz, Romy Jons amewaomba radhi mashabiki zake, marafiki , mashabiki , mke wake na Watanzania kwa ujumla kwa yale yan [...]
Brazen: Maneno yenye uhalisia

Brazen: Maneno yenye uhalisia

Filamu ya “Brazen” inamuhusu mwanamama Grace Miller ambaye ni nyota maarufu wa vitabu vya simulizi nchini Marekani. Simulizi zake zilizobeba visa vya [...]
1 79 80 81 82 83 99 810 / 984 POSTS
error: Content is protected !!