Tag: Freeman Mbowe
BAKWATA yapoteza umiliki wa ekari 40
Mahakama Kuu Morogo Kitengo cha Ardhi imefulia mbali uamuzi wa Baraza la Ardhi na Makazi la Wilaya ya Kilombero uliotoa haki ya uamiliki wa ekari 40 z [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 01 (Werner kurudi Bundersliga, Hatma ya Koeman Barcelona kuwekwa wazi Jumamosi hii)
West Ham huenda wakapata nafasi ya kumsajili Luca Pellegrini (22) huku mchezaji huyo wa Italia akijizatiti kupata nafasi ya kucheza Juventus (Calciome [...]
Maagizo manne ya Rais Samia kwa mashirika yasiyo ya kiserikali
Katika mkutano wa mashirika yasiyo ya kiserikali uliofanyika leo Dodoma ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amehudhuria kama mgeni rasmi, ambapo pamoja na [...]
Tony Blair: Rais Samia anapambana kuleta maendeleo kwa wananchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe Tony Bl [...]
Agizo la Makamba kwa wakuu wa Mikoa 8
Akizungumza kwenye semina iliyowakutanisha wakuu wa mikoa minane jijini Tanga, pamoja na baadhi ya viongozi wa serikali, bunge, wizara ya nishati na t [...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Septemba 29, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Ijue sayansi anayoitumia Rais Samia kwenye hotuba zake
Kuzungumza mbele ya hadhira ya kipawa, kipawa ambacho si kila mtu ametunukiwa. Walikuwepo wahutubi wengi mahiri ambao majina yao yamekozwa kwenye vita [...]
Fahamu haya kabla ya kununua hisa kwenye kampuni
Kutokana na kukua kwa mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji, suala la uuzaji hisa katika makampuni limekuwa likifanywa na makampuni mengi hapa T [...]
Jumuiya ya Afrika Mashariki yaunga mkono kauli ya Rais Samia Umoja wa Mataifa
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu aliyotoa wakati akihutubia Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa [...]
Magazeti ya leo Jumatatu, Septemba 27, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatatu, Septemba 27, 2021.
[...]