Tag: habari kubwa za michezo
Mabadiliko Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa.
[...]
Will Smith aomba msamaha
Muigizaji nyota kutoka nchini Marekani ameomba radhi kwa mashabiki zake na kwa mchekeshaji Chris Rock, kwa kitendo alichofanya cha kumpiga makofi mbel [...]
Hekta 134 kutengwa kilimo cha bangi
Nchini Rwanda hekta 134 zimetengwa kwa ajili ya uzalishaji wa zao la bangi baada ya serikali kuanza kutangaza mipango ya kuanza kuzalisha na kusafiris [...]
Jaden aungana baba yake
Mtoto wa Will Smith anayefahamika kwa jina la Jaden Smith, ameonyesha kuunga mkono kitendo alichofanya baba yake usiku wa Tuzo za Oscar, baada ya Will [...]
Alawiti na kubaka kisa chumvi
Jeshi la polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa [...]
Diamond afanya kufuru
Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media na mwanamuziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amefanya kufuru kwenye sherehe ya har [...]
Marioo kuja na Davido
Msanii wa bongo fleva Marioo anayetamba na ngoma yake ya Mi Amore ametangaza kuachia remix ya wimbo huo pendwa akiwa amemshirikisha nyota kutoka nchi [...]
Kubenea apigwa spana kesi ya Makonda
Maombi ya mwanahabari Saed Kubenea ya kumfungulia mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda k [...]
Usipake vitu hivi usoni
Kwenye karne hii ambayo teknolojia imekua na watumiaji pia wamekua wengi, watu hupenda kujifunza vitu mbalimbali kupitia mitandao hasa Youtube ambapo [...]
Msichana: Epuka haya ukiwa mwezini
Ni kawaida kwa msichana kupata hedhi kila mwezi ambapo huambatana na mabadiliko mbalimbali ya mwili na wengi kupata maumivu makali.
Hivyo basi kuna [...]

