Tag: habari kubwa za michezo
Tazama video zinazo-trend Youtube Februari 24,2022
Hizi hapa video zinalizofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa,
https://www.youtube.com/watch?v=BRsoOKdmKic&list=P [...]
Mwanafunzi aandika barua ya kuacha shule
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbati, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Taufiki Salumu Hamisi ameandika barua yakuacha shule baada ya kuchaguli [...]
Onyo la Rais wa Urusi, Putin kwa dunia
Chombo cha habari cha Time kimeripoti ujumbe wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alivozionya nchi nyingine kwamba jaribio lolote la kuingilia hatua ya Ur [...]
Dunia ya guswa na shambulio la Urusi dhidi ya Ukraini
Operesheni maalumu ya kijeshi ya ya Rais wa Urusi Vladimir Putin mashariki mwa Ukraine imelaaniwa haraka na mataifa kadhaa.
Shambulio hilo wakati h [...]

Jela miaka 60 baada ya kumbaka mama miaka 56
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela, Daudi Samson (22) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwana [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Februari 22,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa,
https://www.youtube.com/watch?v=j3kDvCgCG0Y&list=PLq [...]
Tozo yawaliza Hanscana, Lavalava na Mbosso
Mtayarishaji wa video nchini Hanscana amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu changamoto za tozo kubwa wanazokutana zao pindi wakitaka kuf [...]
Harmonize aitwa wokovuni
Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr.GeorDavie kutoka Arusha ameupiga na kuucheza wimbo wa 'Mwaka Wangu' uliombwa na msanii wa Bongofleva na mmiliki wa le [...]
Neema kwa watakao hama Ngorongoro kwa hiari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali ipo tayari kulipa gharama zote kwa walio tayari kuhama kwa hiari eneo la Ngorongoro na kusisitiza wanaot [...]

Kampuni ya Elon Musk inakabiliwa na madai ya unyanyasaji wa wanyama
Kampuni ya San Francisco Neuralink, inayoendeshwa na Elon Musk, imekuwa ikifanya kazi kwenye chip ambayo inaweza kupandwa kwenye ubongo wa mwanadamu [...]

