Tag: habari kubwa za michezo
Sera za Rais Samia zilivyoimarisha shilingi ya Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo
Tangu aingie madarakani Machi 19, 2021 , Rais Samia Suluhu ameweza kuimarisha thamani ya shilingi ya Tanzania na kuendelea kuwa imara ikilinganishwa n [...]
TPDC yasaini mikataba ya Sh60 bilioni kuongeza umiliki wa kitalu
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeongeza mara mbili umiliki wa kitalu cha gesi asilia cha Mnazi Bay baada ya kusaini mikataba miwili [...]
Rais Samia asisitiza upandaji wa miti nchini
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na wananchi wa makundi mbalimbali kupanda miti 4720 inayotarajiwa ikiwemo miti 120 ya matunda.
Miti hiyo imepand [...]
Matokeo Kidato cha Nne 2023
Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza watahiniwa 484,823 sawa na 87.65% wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023 wamefaulu.
Akitangaz [...]
Ruksa kuwekeza Msomera
Serikali imefungua milango ya fursa za uwekezaji katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, ili kuboresha maisha ya wakazi wa [...]
Kenya yaomba msaada wa dawa za TB Tanzania
Waziri wa Afya wa Kenya Susan Nakhumicha Wafula amesema kutokana na uhaba wa dawa za kutibu kifua kikuu au TB, Serikali yao ilichukua uamuzi wa kuomba [...]

Rais Samia atengua uteuzi wa kamishna wa petroli na gesi
RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi, Michael Songora Mjinja.
Taarifa iliyotolewa leo Januari 4, 2024, na Mkuru [...]
Bei ya mafuta yashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazotumika [...]
Mwindaji wa mamba alifuata sheria
Uchuguzi unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kib [...]
Rais Samia afarijika kuona 58% ya wahitimu ni wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuleta mabadiliko chanya katika jamii mara wanapohitimu masomo yao.
Ameyasema hay [...]

