Tag: habari kubwa za michezo
Rais Samia azindua kiwanda cha nne kwa ukubwa Afrika
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha kuzalisha vioo kilichopo katika wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani kinachotarajiwa kutoa ajira [...]
Rais Samia aandika historia Kilwa
Historia imeandikwa mkoani Lindi na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu katika sekta ya uvuvi baada ya kuweka jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa u [...]
Ziara ya Rais Samia Mtwara imefana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 17,2023 amehitimisha Ziara ya Siku tatu Mkoani Mtwara ambapo Ziara [...]
Rais Samia mgeni rasmi maonesho ya teknolojia ya madini
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maonesho ya 6 ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini yatakayofanyika mkoani Geita kuanzia t [...]
Wananchi wa Newala wampa Rais Samia maua yake
Baadhi ya wafanyabiashara wa Wilaya ya Newala wamepongeza na kumshukuru Mhe: Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kufungua mipaka ya kuingia na kutoka nchi [...]
Serikali inavyokabiliana na changamoto za masoko ya bidhaa za kilimo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inatekeleza mikakati madhubuti kukabiliana na changamoto ya u [...]
Rais Samia asisitiza usimamizi wa rasilimali kwa maendeleo ya wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa Afrika kusimama imara na kutumia rasilimali zilizopo kwa maendeleo ya wananchi wao.
Ameyasema hayo a [...]
Rais Samia : Mchengerwa ni bingwa wa mabadiliko
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri mpya wa OR- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa kwa kuleta mabadili [...]
Rais Samia: Wananchi toeni maoni Dira ya Maendeleo 2050
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushiriki katika mchakato wa maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya 2050 ili kupata dira jumuishi itakayokid [...]
Rais Samia asisitiza uwepo wa mfumo rafiki wa kimataifa wa fedha
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kutafuta namna ya kukabiliana na changamoto ya mfumo wa kimataifa wa kifedha, unaozuia upatikanaji wa fedha za [...]

