Tag: habari kubwa za michezo

1 20 21 22 23 24 123 220 / 1222 POSTS
Tanzania kinara kwa idadi ya simba dunia

Tanzania kinara kwa idadi ya simba dunia

Waziri wa Maliasili na utalii, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza dunia kuwa na idadi kubwa ya simba zaidi ya 17,000. Mchen [...]
Juhudi za Rais Samia zapandisha uchumi wa Tanzania

Juhudi za Rais Samia zapandisha uchumi wa Tanzania

Uchumi wa Tanzania umeongezeka kwa zaidi ya Dola za Marekani bilioni 16.02 katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na k [...]
Muungano 2023 kusherekewa kipekee

Muungano 2023 kusherekewa kipekee

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya  mwaka 2023 yatafanyika katika ngazi y [...]
Rais Samia apongezwa kwa hatua alizochukua ripoti ya CAG

Rais Samia apongezwa kwa hatua alizochukua ripoti ya CAG

Baada ya dosari nyingi kufichuliwa na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, watoa maoni mbalimbali wamehusi [...]
Serikali yapiga ‘stop’ mikopo ya halmashauri

Serikali yapiga ‘stop’ mikopo ya halmashauri

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zisitishe utoaji wa fedha za mikopo kwa vikundi vya wanawake , vijana na watu wenye ulemavu zina [...]
Fahamu miji 8 mizuri barani Afrika

Fahamu miji 8 mizuri barani Afrika

Vyombo vingi vya habari hasa nje ya Afrika, hulizungumzia bara la Afrika kama masikini lenye mazingira ambayo siyo rafiki na kuonyesha picha zenye kue [...]
Afariki dunia baada kunywa pombe bila kula

Afariki dunia baada kunywa pombe bila kula

Asia Eliya (24), Mhudumu wa baa Nyemo amefariki dunia kwa madai ya kunywa pombe kupita kiasi bila kula chakula. Mwenyekiti wa Mtaa wa Picha ya Ndeg [...]
Rais Samia atoa kibali cha ajira kwa watumishi 21,200

Rais Samia atoa kibali cha ajira kwa watumishi 21,200

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya. Idad [...]
Magazeti ya leo Aprili 12,2023

Magazeti ya leo Aprili 12,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Aprili 12,2023. [...]
Rais Samia apongezwa na Rais Mwinyi

Rais Samia apongezwa na Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amempongeza na kumshukuru Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuu [...]
1 20 21 22 23 24 123 220 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!