Tag: habari kubwa za michezo
Kweli walibadilishiwa namba za mtihani
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Mo [...]
Kuna nini WhatsApp ?
Mtandao wa WhatsApp umeonekana kukabiliwa na hitilafu baada ya baadhi ya watumiaji kuripoti matatizo ya kushindwa kutuma na kupokea jumbe mbalimbali k [...]
Tanzania, DRC kuinua uchumi kwa pamoja
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kushirikiana kujenga miundombinu ya reli ya kisasa na barabara ili kuimarisha biashar [...]
Waziri Mkuu aenda Korea Kusini ziara ya siku tatu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Magazeti ya leo oktoba 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 24,2022.
[...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi kama ifuatavyo:-
[...]
Moto Mlima Kilimanjaro
Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umezuka katika mlima Kilimanjaro, karibu na eneo la Karanga Camp lililopo urefu wa meta 3,963 kutoka [...]
Magazeti ya leo Oktoba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 22,2022.
[...]
Fahamu mapendekezo ya Kikosi Kazi kuhusu Katiba Mpya
Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa nchini Tanzania kimesema mchakato wa kupata Katiba mpya uendelee kwa ku [...]
Rais Samia: Msiijadili tu serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa vyama vya siasa kukaa na kujijadili namna vyama hivyo vinavyotenda [...]

