Tag: habari kubwa za michezo

1 43 44 45 46 47 123 450 / 1222 POSTS
Rais Samia ahimiza sheria zitafsiriwe kwa Kiswahili

Rais Samia ahimiza sheria zitafsiriwe kwa Kiswahili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inahitaji sheria madhubuti kuhakikisha kuwa wanawake wanashiriki k [...]
Uzembe wa TICTS, hasara kwa taifa

Uzembe wa TICTS, hasara kwa taifa

Kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imesababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha mako [...]
China haifungui kituo cha polisi Tanzania

China haifungui kituo cha polisi Tanzania

Watanzania wametakiwa kupuuzia taarifa iliyotolewa na idhaa ya kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuwa  nchi ya China ina mpango wa [...]
Wapata majisafi baada ya miaka 50

Wapata majisafi baada ya miaka 50

Wananchi wa kijiji cha Namatumu Kata ya Malika Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, wamesema Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA [...]
Rais Samia awapongeza Ramadhan Brother’s

Rais Samia awapongeza Ramadhan Brother’s

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Samia Suluhu Hassan amewapongeza vijana wa Kitanzania Ibrahim (36) na Fadhil Ramadhan (26) wanaounda ku [...]
Magazeti ya leo Oktoba 19,2022

Magazeti ya leo Oktoba 19,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 19,2022. [...]
Zitto Kabwe ampongeza Rais Samia kwa kufanya kazi nzuri

Zitto Kabwe ampongeza Rais Samia kwa kufanya kazi nzuri

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amempa pongezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri anayoifanya kwa kuwaungan [...]
Rais Samia aiwasha Kigoma

Rais Samia aiwasha Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassani jana Oktoba 17,2022  amezima umeme uliokuwa unatumia jenereta na kuwasha umeme wa gridi ya Taifa na kuwataka wananchi kutunz [...]
Ajinyonga kisa kunyimwa mshahara

Ajinyonga kisa kunyimwa mshahara

Ofisa Muuguzi (II) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, Dar es Salaam, Sarwat Soluwo amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kilichodaiwa mateso ali [...]
Rais Samia: Tunakwenda kuandika historia Kigoma

Rais Samia: Tunakwenda kuandika historia Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Kigoma leo unaandika historia kwa kuzimwa kwa majenereta yaliyokuwa yakizalisha umeme na sasa unaunganishwa k [...]
1 43 44 45 46 47 123 450 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!