Tag: habari kubwa za michezo

1 51 52 53 54 55 123 530 / 1222 POSTS
Mpango kumuwakilisha Rais Samia Rwanda

Mpango kumuwakilisha Rais Samia Rwanda

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 05 Septemba 2022 amewasili Kigali nchini Rwanda ambap [...]
Maendeleo ujenzi Daraja la JPM yamridhisha Kinana

Maendeleo ujenzi Daraja la JPM yamridhisha Kinana

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza Daraja hilo l [...]
Mahakama yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama yabariki ushindi wa Ruto

Mahakama ya Juu ya Kenya leo imepitisha kwa kauli moja kuchaguliwa kwa Rais mteule William Ruto katika kura ya urais ya mwezi uliopita baada ya kutupi [...]
Walioolewa na wenye watoto ruksa kushiriki Miss Universe

Walioolewa na wenye watoto ruksa kushiriki Miss Universe

Huenda mashindano ya ulimbwende yanayofanyika katika maeneo mbalimbali duniani yakachua sura mpya na kufungua fursa zaidi kwa wanawake kufaidika na ta [...]
Sababu za MV. Magogoni kukwama

Sababu za MV. Magogoni kukwama

Taarifa kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imeeleza sababu ya kivuko cha MV Magogoni kukwamba na namna walivyokinasua. [...]
Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu

Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu

Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugenzi Mkuu wa [...]
Mikakati ya kuinusuru NHIF

Mikakati ya kuinusuru NHIF

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali itachukua hatua mbalimbali ikiwemo kutibu mapema magonjwa yasiyoambukiza ili kuunusuru Mfuko wa Taifa wa [...]
Ufafanuzi kuhusu tozo

Ufafanuzi kuhusu tozo

Hatimaye baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi kuhusiana na tozo za miamala ya simu zilizoanza kutozwa na Serikali Julai Mosi mwaka huu, Serikali [...]
Tanzania na Qatar kushirikiana sekta ya afya

Tanzania na Qatar kushirikiana sekta ya afya

Ujumbe wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha, Qatar ikiwa [...]
TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya utangazaji

TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya utangazaji

Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa vyombo vya Utangazaji nchini kuzingatia urushaji wa maudhui yenye kuz [...]
1 51 52 53 54 55 123 530 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!