Tag: habari kubwa za michezo
Ruto alivyoibuka kidedea
Hatimaye Tume ya Uchaguzi Kenya imetangaza matokeo ya uchaguzi kama ifuatavyo:
William Ruto - 7,176,141 Votes 50.49%
Raila Odinga - 6 [...]
Rais Samia awaonya wanaofanya urasimu kwenye utoaji wa Visa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza maafisa wanaoshugulikia hati za kumruhusu mtu kuingia nchini (VISA) kuacha u [...]
Urusi wavutiwa na Rais Samia
Serikali ya Urusi imesema sera ya uwazi ya Rais Samia Suluhu Hassan inawatia moyo na kuahidi kuhamasisha uwekezaji,biashara na watalii wengi wa Urusi [...]
Msichana mmoja huambukizwa VVU, kila baada ya dakika moja
Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, nguvu kubwa ielekezwe kuwalinda wasichana ambao wamekuwa wahanga wa ugonjwa huo.
Kw [...]
Rais Samia awasihi wazazi kuwapa lishe watoto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi katika Mkoa wa Iringa kuongeza usimamizi katika masuala ya lishe bora [...]
Rais Samia anavyowainua wamachinga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama Machinga kuwashika mkono [...]
Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa mbioni kuanza
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi kwenye upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa utakao rahisisha shughuli za utalii hasa kwa [...]
Watu wanne wamefariki Kenya, vurugu za Uchaguzi Mkuu
Licha ya juhudi za wagombea wa viti mbalimbali nchini Kenya kulaani vurugu na kuwataka wafuasi wao kuwa watulivu wakati shughuli ya kuhesabu kura ik [...]
Yanga SC yashangazwa kutoalikwa mkutano wa CAF
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema umeshangazwa kwanini hawakupewa mwaliko wa kuudhuria mkutano wa 44 wa Shirikisho la CAF.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mku [...]
Wakulima kufaidika na punguzo bei ya mbolea
Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisaj [...]

