Tag: habari kubwa za michezo
Ugonjwa usiojulikana Lindi unasababishwa na bweha
Wizara ya Afya kupitia kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetanga uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu [...]
Waziri Makamba aeleza sababu ya kugawa mitungi ya gesi
Waizri wa Nishati, January Makamba amesema wizara hiyo imegawa bure mitungi ya gesi kwa kaya masikini na mamalishe katika mikoa mbalimbali nchini, ili [...]
Majaliwa akagua daraja la mawe
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Julai 17, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu [...]
Magazeti ya leo Julai 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 18,2022.
[...]
Mama amuua binti yake
Mama na mwanaye wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kumuua binti wa kumzaa wa mama huyo.
Was [...]
Rais ajiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore.
Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jum [...]
Aeleza namna bora ya kumuenzi hayati Mkapa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema njia bora ya kuendelea kumuenzi aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Benjamin Mkapa ni kuimarisha ushirikiano kati ya Se [...]
Wachezaji walioitwa kambini
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 24, kitakachoingia kambini kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa [...]
Tanapa yapiga marufuku uvaaji wa sare zake
Jeshi la Uhifadhi wa Wanyamapori na Misitu la Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) imeagiza watu waache kuvaa sare zake popote.
Taarifa hii imetole [...]
Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Irene Uwoya, ametangaza ajira kwa mtu yeyote mchekeshaji atayekuwa na jukumu la kumchekesha muda wote.
Kupitia [...]

