Tag: habari magazetini
Rais Samia aeleza maana ya kauli yake ya aliyesimama hapa ni Rais mwenye maumbile ya kike
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyosema siku ya kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa rais wa awam [...]
“Mdogo wangu Mwinyi, simama kama mbuyu.”- Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka familia ya hayati Ali Hassan Mwinyi kuendelea kuheshimiana na kushikamana na kwamba hawatafurahi kuona familia hiyo [...]
Rais Samia aipongeza Yanga SC
Rais wa Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Yanga SC, kwa kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kuishushia kichap [...]
Rekodi yavunjwa ongezeko la watalii wa kigeni
Mapato yanayotokana na utalii yamezidi kuongezeka kutoka Dola za Kimarekani bilioni 1.3 mwaka 2021 hadi kuvunja rekodi na kufikia Dola za Kimarekani b [...]
Ushawishi wa Tanzania Duniani utategemea na Ubora wa Sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa
Imeelezwa kuwa ili Tanzania iweze kufikia malengo ya Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa y [...]
TPDC yasaini mikataba ya Sh60 bilioni kuongeza umiliki wa kitalu
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeongeza mara mbili umiliki wa kitalu cha gesi asilia cha Mnazi Bay baada ya kusaini mikataba miwili [...]
IMF yatabiri makubwa ukuaji wa uchumi Tanzania
Kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), uchumi wa Tanzania unakaribia kufikia hatua kubwa, ukiwa na Pato la Taifa [...]
Bandari ya Dar kimbilio la wengi
Mabadiliko katika miundombinu, teknolojia ya kupakua na kupakia shehena na kasi ya kuhudumia meli katika Bandari ya Dar es Salaam kumeifanya bandari h [...]
Tanzania ya pili uzalishaji wa tumbaku Afrika
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Mhe. Hussein Bashe amesema takwimu za hivi karibu zinaonyesha Tanzania imekuwa mzalishaji wa pili mkubwa wa tumbaku [...]
Bei ya mafuta yashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazotumika [...]

