Tag: habari magazetini

1 18 19 20 21 22 99 200 / 989 POSTS
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 376

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 376

Wafungwa 376 watanufaika na msamaha huu ambapo 6 wataachiliwa huru tarehe 26/04/2023 na 370 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki [...]
Aliyeua na kula nyama za mtoto wake apelekwa rumande siku 10

Aliyeua na kula nyama za mtoto wake apelekwa rumande siku 10

Mahakama ya Kajiado imeamuru kuzuiliwa kwa mwanamke anayekabiliwa na shtaka la mauaji baada ya kudaiwa kumuua bintiye wa miaka miwili kwa kumkata vipa [...]
Yanayosubiriwa Mei Mosi mwaka huu

Yanayosubiriwa Mei Mosi mwaka huu

Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kufanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yapo mambayo kadhaa yakajitokeza katika sherehe z [...]
MV Mwanza kufanya safari za Kenya na Uganda

MV Mwanza kufanya safari za Kenya na Uganda

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema meli ya kisasa ya Mv Mwanza Hapa Kazi Tu itaanza kufanya safari za Uganda na Kenya katika ziwa Victoria baada ya [...]
Nafasi za kazi Wizara ya Afya

Nafasi za kazi Wizara ya Afya

Wizara ya Afya imetangaza nafasi za ajira 247 zikihusisha madakitari bingwa 30, baada ya kupata Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa U [...]
Magazeti ya leo Aprili 21,2023

Magazeti ya leo Aprili 21,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Aprili 21,2023. [...]
Nafasi 1,152 za ajira

Nafasi 1,152 za ajira

Mwisho wa maombi ni tarehe 25 Aprili 2023. Kusoma Maelezo kamili, kutuma maombi, tembelea linki hapa chini:   [...]
Madini ya kinywe na adimu kuvutia uwekezaji nchini

Madini ya kinywe na adimu kuvutia uwekezaji nchini

Serikali inatarajia kuvutia uwekezaji wa Dola za Marekani milioni 667 sawa na Sh1.5 trilioni baada ya kuanza kuchimba na kuchakata madini ya kinywe na [...]
Tanzania kinara kwa idadi ya simba dunia

Tanzania kinara kwa idadi ya simba dunia

Waziri wa Maliasili na utalii, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza dunia kuwa na idadi kubwa ya simba zaidi ya 17,000. Mchen [...]
Muungano 2023 kusherekewa kipekee

Muungano 2023 kusherekewa kipekee

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya  mwaka 2023 yatafanyika katika ngazi y [...]
1 18 19 20 21 22 99 200 / 989 POSTS
error: Content is protected !!