Tag: habari magazetini

1 44 45 46 47 48 99 460 / 989 POSTS
Karani wa Sensa ajinyonga Tabora

Karani wa Sensa ajinyonga Tabora

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Batilda Buriani ametoa taarifa ya kifo cha mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa [...]
Huduma za MOI kupatikana Mtwara

Huduma za MOI kupatikana Mtwara

Huduma za kibingwa za Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), zitaanza kutolewa katika hospitali mpya ya kisasa ya Rufaa Kanda Mtwara, ikiwa ni ute [...]
Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa

Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa

Ifuatayo ni orodha ya maswali 100 ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. [...]
Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu

Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema bado wanamshikilia mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simb [...]
Rais Samia anavyoipambania lugha ya Kiswahili

Rais Samia anavyoipambania lugha ya Kiswahili

Rais Samia Suluhu amewasihi wajumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia lugha ya Kiswahili na pia kuharakisha mchakato wa kuifany [...]
Shaka awasha moto Kaliua

Shaka awasha moto Kaliua

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hiko hakiko tayari kuona wala kusikia mtendaji wa [...]
Magazeti ya leo Agosti 17,2022

Magazeti ya leo Agosti 17,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Agosti 17,2022. [...]
Ummy: Serikali itakarabati Uwanja wa Mkwakwani

Ummy: Serikali itakarabati Uwanja wa Mkwakwani

Mbunge wa Tanga Ummy Mwalimu amesema atashirikiana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kukarabati uwanja wa Mkwakwani uliofungiwa na Shirikisho la Mpira wa M [...]
Ofisa wa Tume aliyepotea Kenya akutwa amefariki Kilombero

Ofisa wa Tume aliyepotea Kenya akutwa amefariki Kilombero

Saa chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kumtangaze Dk William Ruto kuwa Rais mteule wa Kenya, mwili wa ofisa wa tume hiyo [...]
Ruto alivyoibuka kidedea

Ruto alivyoibuka kidedea

Hatimaye Tume ya Uchaguzi Kenya imetangaza matokeo ya uchaguzi kama ifuatavyo: William Ruto - 7,176,141 Votes 50.49%   Raila Odinga - 6 [...]
1 44 45 46 47 48 99 460 / 989 POSTS
error: Content is protected !!