Tag: habari magazetini
Ajali ya basi la shule yaua watu 10 Mtwara
Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali Mikindani Mtwara baa [...]
Magazeti ya leo Julai 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 25,2022.
[...]
Magazeti ya leo Julai 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 21,2022.
[...]
Nafazi za kazi Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Regional Centre on Small Arms (RECSA) linatangaza nafasi za kazi kama zifuatazo.
  [...]
Mzee: hakuna haja kuandikwa katiba mpya
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Abdulhamid Yahya Mzee amesema hakuna haja ya kuandikwa katiba [...]
Mama amuua binti yake
Mama na mwanaye wa kiume wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kumuua binti wa kumzaa wa mama huyo.
Was [...]
Magazeti ya leo Julai 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 16,2022.
[...]
Wachezaji walioitwa kambini
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 24, kitakachoingia kambini kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa [...]
Tanapa yapiga marufuku uvaaji wa sare zake
Jeshi la Uhifadhi wa Wanyamapori na Misitu la Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) imeagiza watu waache kuvaa sare zake popote.
Taarifa hii imetole [...]
Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Irene Uwoya, ametangaza ajira kwa mtu yeyote mchekeshaji atayekuwa na jukumu la kumchekesha muda wote.
Kupitia [...]

