Tag: habari magazetini
Kigwangalla: Sijasema maneno hayo
Aliyewahi kuwa Waziri wa Utalii na Maliasili, Hamis Kigwangalla amefunguka na kusema kwamba taarifa iliyotolewa na akaunti moja ya mtandao wa Twitter [...]
Nyota wa Ponografi amuomba Elon Musk
Nyota wa zamani wa ponografi amesema, Elon Musk anahitaji kupiga marufuku maudhui ya picha na video za utupu kwenye mtandao wa Twitter.
Lisa Ann, 4 [...]
Ndugai kuacha siasa
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametangaza nia yake ya kuacha siasa ikiwamo kutogombea tena nafasi ya ubunge kat [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 9, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Panya Road wasimulia wanavyoiba
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeendelea kuisimamia operesheni maalum kali na msako wa mtaa kwa mtaa dhidi ya vijana wanaojihusisha n [...]
Hali ya Corona nchini
Wizara ya Afya inaendelea kutoa taarifa kwa umma kuhusu hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini. Itakumbukwa kuwa ugonjwa huu ulitolewa taarifa kwa mara ya [...]
Zuchu awajibu BASATA
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Msanii kutoka lebo ya Wasafi, Zuchu amewajibu BASATA kuhusu video ya wimbo wake pamoja na Diamond kufungia k [...]
Kushuka kwa bei za vyakula
Huenda maumivu ya kupanda kwa bidhaa Tanzania yakapungua siku za hivi karibuni baada ya wataalam wa uchumi kueleza kuwa bei za vyakula duniani zilishu [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 7, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
TCRA waifungia video ya ‘Mtasubiri”
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu ya "Mtasubiri sana' baada ya kupata taarifa kutoka Ba [...]

