Tag: habari magazetini
Amuua baba yake baada ya kumkuta amelala na mkewe
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga , linamshikilia Mwandu Shija (32) mkazi wa Ndala Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Shija Ro [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 28, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Magazeti ya leo Aprili 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Aprili 28,2022.
[...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 27, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira
Baada ya kuwa na malalamiko juu ya mfumo wa uombaji ajira kada ya elimu na afya, Ofisi ya Rais- TAMISEMI imesema kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi [...]
Matumaini kero za muungano
Huku leo Aprili 26, 2022 Tanzania ikisherehekea Muungano wa Tanzania unaoundwa na Tanganyika na zanzibar, kero 18 kati ya 25 zimetatuliwa.
Waziri w [...]
Nauli 700
Bei ya nauli ya bajaji za kuchangia mkoani Mbeya zimepanda hadi kufikia 700 baada ya bei hiyo kudumu kwa miaka tisa sasa.
Akizungumza na Nipashe, M [...]
Agizo la Dkt. Mpango kwa Nape
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ku [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 26, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 25,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 25,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch [...]

