Tag: habari za burudani
Pigo jipya bei za mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika kuanzia kesho Jumatano May 04, 2022.
[...]
Magazeti ya leo Mei 4,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Mei 4,2022.
[...]
Urusi na UKraine zamuibua Mo Dewji
Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Mohamed Enterprises (MeTL) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na mwekezaji wa klabu ya Simba , Mohamed Dewji ameshauri [...]
Nchi zilizopandisha mishahara
Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameboresha maslahi ya watumishi kwa kuongeza kima cha chini cha mishahara kwa viango tofauti.
[...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 3, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
CCM yatoa pongezi kwa wafanyakazi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa pongezi kwa wafanyakazi wote nchi kwa kuunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuongeza mishahara yao, kaul [...]
Tazama hapa video zinazo-trend youtube Mei 2,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Alhamisi Mei 2,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v= [...]
Kiama cha Panya Road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema kuanzia leo kutakuwa na operesheni maalumu ya kuwasaka vijana, maarufu Panya Road wanaofanya matuk [...]
TCRA yafunguka vifurushi kupanda
Baada ya kuibuka kwa malalamiko kuhusu wateja wa mitandao ya simu kununua vifurushi na kupata tofauti na kile walicholipia, Mamlaka ya Mawasiliano kup [...]
Mtuhumiwa aachiwa baada ya muathirika kukataa kubakwa
Mahakama ya Mkoa Wete imelionoda shauri la kubaka lililokuwa linamkabili mtuhumiwa Omar Hemed Abdi (23) mkazi wa Kwake Micheweni baada ya mtoto wa mia [...]

