Tag: habari za burudani
Ijue baiskeli ghali zaidi duniani
Huku wengi wakitafuta usafiri kununua ili kurahisisha mizunguko ya hapa na pale, wengi huwaza kwanza magari ya kifahari ambavyo pia gharama zake zipo [...]
Kucheka kiingereza cha Mondi ni kuivua nguo Tanzania
Diamond kushindwa kuseme umri wake kwa kiingereza ni kosa?
Msanii mkubwa na mmiliki wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz siku za hivi karibuni amezungu [...]
Mwijaku atangaza nia
Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena Clouds Radio, Mwijaku ametangaza nia ya kuwa msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania wadhifa aliopewa Steve Nyerer [...]
Faru Rajabu afariki
Shirika la Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa kuhusu kifo cha Faru Rabaju aliyefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na mia [...]
Kanye West afutwa Grammy 2022
Rapa kutoka nchi Marekani Ye au Kanye West amefutwa kwenye orodha ya wasanii wanaotarajia kutumbuiza kwenye Tuzo za Grammy 2022 kutokana na matendo ya [...]
Diamond:Nina mtoto Mwanza
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz, amekiri kuwa mtoto mwingine jijini Mwanza ukiachilia mbali wato [...]
Waliofariki ajali ya Morogoro kulipwa
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema waathirika wote wa ajali iliyotokea mkoani Morogoro hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu 23 [...]
BASATA: hawakuomba kushiriki
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa ufafanuzi wa kwanini wasanii kutoka lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond Platumz kutoonekana kwenye kipen [...]
Aina 5 za wanaume wanaoweza kuathiri mafanikio yako
Wanasema aina ya watu wanaokuzunguka inaweza kuonesha aina ya maisha unayoishi ama unayotamani kuyaishi. Huwezi kupenda mafanikio nauzungukwe na watu [...]
MGM yaungana na Amazon studios
Amazon imefunga rasmi jana Mach 17,2022 mkataba wake wakuinunua kampuni ya MGM kwa kiasi cha fedha dola bilioni 8.5 na kusema kwamba hakuna mfanyakaz [...]

