Tag: habari za burudani
Tunda aahirisha kujiua
Video vixen kutoka nchini Tanzania, Mkurugenzi na mmiliki wa duka la nguo za kike la Tunda Boutiques, Tunda Sebastian amesema hatajiua kama alivyosema [...]
Magazeti leo 30,2021
Habari Za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumanne Novemba 30, 2021. [...]
Tahadhari kirusi kipya cha Corona
Wizara ya Afya Tanzania imetoa tahadhari kwa Watanzania kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya kujikinga na maambukizi ya kirusi kipya cha Cor [...]

Rais Samia atoa maelezo kuhusu wanafunzi waliojifungua kuendelea na masomo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu ametilia mkazo agizo la Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako kwamba wanafunzi wote waliopata ujauzi [...]
Wananchi walia kupanda bei ya gesi
Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamelia na kulalamikia kuhusu kupanda kwa bei ya gesi ya kupikia nchini tangu Agosti mwaka huu, na bado sababu [...]
Magazeti leo 29, 2021
Habari Za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Novemba 29, 2021. [...]
Magazeti leo Jumapili 28, 2021
Habari Za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumapili Novemba 28, 2021. [...]
Makonda kizimbani Desemba 3
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda anatarajia kufikishwa Kortini tarehe 3 Desemba mwaka huu katika Mahakama ya Hakim [...]
Magazeti leo Ijumaa 26, 2021
Habari za asubuhi , Nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 26, 2021.
[...]
Magazeti leo Alhamisi 25,2021
Habari Za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 25, 2021. [...]

