Tag: habari za burudani
Fahamu kuhusu asali
Wengi wetu tumezoea asali kwa matumizi ya kula lakini kama ulikua hujui pia ni tiba ya ngozi pamoja na kuzui chunusi.
Kutokana na uwezo wa asali ku [...]
Magazeti ya leo Januari 16,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Januari 16,2023.
[...]
Dar Group Hospital chini ya usimamizi wa Serikali
Serikali imechukua usimamizi wa Hospitali ya Dar Group na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuwa Hospitali hiyo sasa itasimamiwa na Taasisi ya Mo [...]
Maana ya video ya Simba ya Fei Toto
Mchezaji wa Yanga SC , Feisal Salum maarufu kama "Fei Toto" ameweka video ya mnyama simba yenye maneno ya lugha ya kifaransa jambo lililoibua hisia to [...]
Fei toto na Simba Instagram
View this post on Instagram
A post shared by Feisal Salum Abdal [...]
Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro
Watu 48 wameokolewa katika mafuriko na kuhifadhiwa ofisi ya Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro kupatiwa msaada wa dharura na serikali, kufuatia mvu [...]
Magazeti ya leo Januari 14,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Januari 14,2023.
[...]
Qayllah wa Shetta ateuliwa kuwa Mjumbe CCM
Mtoto wa mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva Shetta afahamikaye kwa jina la Qayllah Nurdin ameteuliwa na Baraza la Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar e [...]
CCM Geita yakosoa usambazaji mbolea ya ruzuku
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimeeleza kutoridhishwa na mwenendo wa usambazaji wa mbolea ya ruzuku kwa wakulima kutokana na mchakato huo ku [...]
Mabasi 4 ya mwendokasi yatengwa kwa ajili ya wanafunzi
Wakala wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) imetenga mabasi manne makubwa asubuhi na jioni kwa ajili ya kubeba wanafunzi wa shule za msingi [...]

