Tag: habari za burudani
Kuna haja ya ujenzi wa barabara nane
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amesema sasa ni wakati mwafaka kwa serikali kujenga bara [...]
Majaliwa : Serikali ipo pamoja na nyie
Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na [...]
Rais Samia apongezwa na CHADEMA
Kada mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Morogoro, Acqulline Magalambura amesifu uteuzi wa wakuu wa mikoa uliofanywa na [...]
Makongoro: Nimenusurika
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan wa kuendelea kuhudumu katika mkoa huo.
Makongoro ameyasema hayo leo hi [...]
SUMA JKT waendelea na ujenzi wa nyumba 400 Msomera
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amekagua ujenzi wa nyumba mpya 400 katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni, Mkoani Tang [...]
Walioathiriwa na ajali ya basi Mtwara kulipwa fidia
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeiagiza kampuni ya bima ya Reliance ihakikishe waathirika wote wa ajali iliyoua watu 13 wakiwemo watoto [...]
Yanga yasaini mkataba wa bil.12 na Sportpesa
KLABU ya Yanga ya Dar es Salaam, leo imesaini mkataba mpya wa udhamini na Kampuni ya Sportpesa, wenye thamani ya Sh Bil. 12.335 kwa kipindi cha miaka [...]
Marufuku kuhubiri ndani ya mabasi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafi Ardhini (LATRA), Habibu Suluo amesema kwa mujibu wa kanuni ni marufuku kwa Wafanyabiashara na wanaohub [...]
Waliorusha picha za ajali Mtwara wasakwa
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewataka mara moja wale wote waliosambaza picha za miili ya watoto wa shule ya msingi King Dav [...]
Magazeti ya leo Julai 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 27,2022.
[...]

