Tag: habari za burudani
Serikali kutumia tiktok
Mbunge wa Viti Maalum, Martha Gwau ameishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia mitandao ya kijamii kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii huku a [...]
Nafasi za kazi Ubalozi wa Tanzania nchini India
Ubalozi wa Tanzania nchini India unatangaza nafasi za kazi kwa madereva.
[...]
Tahadhari: Wimbi la 5 Virusi vya Corona
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Watanzania wajikinge na ugonjwa wa Covid-19 kwa kuwa kuna dalili za kuingia kwa wimbi la tano la virusi vya cor [...]
Magazeti ya leo Juni 3,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Juni 3,2022.
[...]
Makamba atoa sababu za kutokuwepo bungeni
Waziri wa Nishati January Makamba amelazimika kuomba radhi ndani ya Bunge kufuatia kusababisha bunge kusimama kwa dakika 30 asubuhi baada ya yeye na N [...]
Ahadi ya Rais Samia kwa Lissu yatimia
Rais Samia Suluhu Hassana amekamilisha ahadi yake ya kumsaidia Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kuweza ku [...]
Faida za kombe la dunia kupita Tanzania
Baada ya miaka nane kupita, Tanzania imepata tena bahati ya kuwa mwenyeji wa ziara ya kombe la dunia barani Afrika ikiwa miongoni mwa nchi tisa ambazo [...]
Pablo atemwa na Simba
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco Martin.
Katika kipindi chake koc [...]
Sabaya bado sana
Hukumu ya Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake imeahirishwa hadi Juni 10, 2022,hii [...]
Maelekezo ya Rais Samia kwa Wizara ya Nishati
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema Rais Samia Suluhu ameielekeza wizara hiyi kuhakikisha ujenzi wa mradi wa bomba la gesi kuto [...]

