Tag: habari za kimataifa
Rais Samia ang’ara tena kimataifa
Kwa mujibu wa jarida la TIME 100, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu ametajwa katika orodha ya viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa d [...]
Chanzo cha watu kupigwa mawe Arumeru
Mkoani Arusha, wilayani Arumeru, wananchi wamekuwa wakipigwa na mawe kwa takribani wiki mbili sasa bila kujua mawe hayo yanatoka wapi.
Baada ya kuz [...]
Mwanamke wa kwanza Afrika kuchezesha Kombe la Dunia
Akiwa na binti mdogo mwenye mapenzi makubwa na michezo, mara baada ya kuambiwa kuwa yeye ni mdogo sana kucheza mpira wa kikapu, aliamua kuhamishia map [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube le Mei 23,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Mei 23,3022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v [...]
Museveni : Kuleni mtama na mihogo
Hotuba ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kupanda kwa bei ya bidhaa haikutoa ahueni kwa mamilioni ya Waganda ambao wako kwenye ukingo wa kutumbu [...]
Sababu ya Mbunge kuruka sarakasi bungeni
Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi bungeni ikiwa ni kuonyesha msisitizo wa hoja yake kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imek [...]
Zuchu apata ajali
Msanii wa muziki wa bongo fleva kutokea lebo ya WCB, Zuchu amepata ajali iliyomsababishia majeraha katika goti lake.
Kupitia ukurasa wake wa Instag [...]
Jinsi ya kunywa pombe
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua tovuti inayoelimisha jamii kuhusu unywaji wa pombe wa kistaarabu ambayo ipo kwa lugha ya kiingereza na kis [...]
Gharama mpya kuvuka Darajala la Nyerere (Kigamboni)
Kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alilolitoa tarehe 6 Desemba 2021 kuhusu kufanya mapitio ya tozo z [...]
Magazeti ya leo Mei 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Mei 23,2022.
[...]