Tag: habari za kimataifa
Profesa Mkenda aruhusu vitabu vya ziada
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku maofisa elimu kuzuia vitabu vya ziada kutumika na kuonya atakayebainika [...]
CCM kubadili katiba Aprili 1, 2022
Katibu Mwenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka, leo Jumamosi, amesema Aprili 1, 2022, chama hicho kitafanya mkutano mkuu maalumu kwa ajili ya kufanya marekebi [...]
Shilole: Nitamtia Nuh makofi
Msanii wa BongoFleva Shilole ametambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Mama Ntilie unaendelea kufanya vizuri katika mitandao mbalimbali tangu siku ya kua [...]
Diamond amuwaza Kiba
Hatimaye msanii Diamond ameachia EP yake usiku wa jana ikiwa na takribani nyimbo 10 alizoshirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kama Mb [...]
GSM amkalia kooni Makonda
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anadaiwa kutaka kupora nyumba ya mfanyabiashara Gharib Said Mohamed wa kampuni ya GSM.
Nyumba [...]
Bajaji Mbeya: Asante Rais Samia
Vijana waendesha bajaji kutoka Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi na shukurani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Sa [...]
Ngorongoro: Tembo aua mmoja
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Narudwasha Titika (45), mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro amefari [...]
NECTA kuja na mfumo mpya wa usahihishaji
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mfumo mpya wa usahihishaji mitihani utaokoa shilingi milioni 550 zinazotengwa kwa [...]
Muhimbili: Hatuhusiki
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa ya kukataa kuhusika na usambazaji wa video inayomuonyesha Mwanamuziki Profesa Jay akiwa katika chumba cha [...]
Aliyepandikizwa moyo wa nguruwe afariki
David Bennett binadamu wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa upandikizwaji wa moyo wa nguruwe amefariki dunia Machi 8 mwaka huu, David amefariki akiwa na um [...]