Tag: habari za kimataifa

1 135 136 137 138 139 164 1370 / 1636 POSTS
Urusi na Tanzania mambo safi

Urusi na Tanzania mambo safi

Urusi yaridhia kusaidia kuondoa wanafunzi wa Kitanzania waliokuwa wamekwama katika mji wa Sumy Nchini Ukraine kuondoka nchini humo kupitia mpaka wa Uk [...]
CAG ageukia fedha za UVIKO-19

CAG ageukia fedha za UVIKO-19

Mdhibiti  na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema ofisi yake imeanza kufanya ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za UVI [...]
Kwa wanaume: fanya haya kuzuia kondomu isipasuke

Kwa wanaume: fanya haya kuzuia kondomu isipasuke

Kwa mwanaume yoyote yule inabidi uwe makini pindi uvaapo kondomu wakati wa tendo la ndoa kwani inaweza kupasuka au kutoka na kubaki kwa mwanamke endap [...]
CHADEMA wamkubali Spika Tulia

CHADEMA wamkubali Spika Tulia

Sophia Mwakagenda ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kwamba wabunge wanaotokan [...]
Njia 4 za kulishinda jua la Dar

Njia 4 za kulishinda jua la Dar

Nchini Tanzania katika jiji kubwa la biashara linalofahamika kama Dar es Salaam ni maarufu kwa kuwa na jua kali linalochoma sana huku wengine wakitani [...]
Serikali yakutana na kamati ya wazazi wa watoto wanaosoma UKraine

Serikali yakutana na kamati ya wazazi wa watoto wanaosoma UKraine

Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe.Liberata Mulamula amekutana na kufanya mazungumzo na kamati ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma nchini Ukraine ambapo amewati [...]
Hamisa Mobetto na BlacChyna ndani ya mchongo mmoja

Hamisa Mobetto na BlacChyna ndani ya mchongo mmoja

Mjasiriamali kutoka nchini Tanzania , Hamisa Mobetto ameweka wazi kwamba kuanzia sasa yeye ni balozi wa bidhaa za vipodozi vya whitenicious kutoka kam [...]
Tanzania kutangazwa bure Burj Khalifa mwezi mzima

Tanzania kutangazwa bure Burj Khalifa mwezi mzima

Baada ya kuwa na sitofahamu kuhusu bendera ya Tanzania pamoja na picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuonekana [...]
Mohammed Aboutrika aishukia vikali FIFA juu ya mgogoro wa Ukraine

Mohammed Aboutrika aishukia vikali FIFA juu ya mgogoro wa Ukraine

Mkongwe wa timu ya taifa ya Misri Mohamed Aboutrika amelishukia vikali Shirika la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) kwa kuitoa nchi ya Urusi kushiriki kat [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Machi 1, 2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Machi 1, 2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 1, 2022. Husikubali kupitwa https://www.youtube.com/watch?v=BRsoOKd [...]
1 135 136 137 138 139 164 1370 / 1636 POSTS
error: Content is protected !!