Tag: habari za kimataifa
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 13 (Chamberlain mbioni kurudi Arsenal, Man City ikimnyatia Haaland)
Klabu ya Liverpool ipo tayari kumuuza kiungo wake Oxlade-Chamberlain (28), kwa bei stahiki huku kukiwa na taarifa zinazomhusisha kurudi Arsenal (Mirro [...]
Chad yapata msamaha wa FIFA
Baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuifungia timu ya taifa ya Chad kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingilia ufanyaji kazi wa FIFA kwenye nc [...]
Polisi wakamata bangi ndani ya gereza
Bangi zenye thamani ya shilingi milioni 1.8 zimekutwa ndani ya gereza kwenye mji wa Empangeni nchini Afrika Kusini baada ya polisi kufanya msako mkali [...]
Nchi maskini deni limeongezeka maradufu – Ripoti ya Benki ya Dunia
Ripoti ya takwimu za madeni ya mwaka 2022 inayotolewa na Benki ya Dunia inaeleza kuwa madeni ya nchi za kipato cha chini yameongezeka kwa asilimia 12 [...]
Mtanzania Abby Chams kwenye show kubwa ya ‘Kelly Clarkson
Kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani binti wa Kitanzania Abby Chams ambaye ni mwanamuziki amepata nafasi ya kuwakilisha Wasichana wa Ta [...]
Mauzo albam ya R Kelly yaongezeka
Mauzo ya albamu ya R. Kelly yameongezeka kwa asilimia 517%, na uhitaji wa albamu hiyo kwa mwaka 2021 ni milioni 6.4, licha ya Septemba 27 mwanamuziki [...]
TikTok kuanza kutumika kwenye “Smart TV”
Mtandao wa TikTok ambao umekuwa jukwaa la elimu na burudani unaingia katika vitabu vya historia kati ya mitandao ya kijamii yenye ‘app’ ya moja kwa mo [...]
Rais akimbia na mabegi ya fedha
Piraz Ata Sharifi aliekuwa mlinzi wa Rais wa Afghanistan amesema baada ya serikali ya nchi hiyo kupinduliwa, aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Ashraf Ghan [...]
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 11, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatatu, Oktoba 11, 2021.
[...]
Fahamu kuhusu sare mpya za wahudumu wa ndege Ukraine
Shirika binafsi la ndege nchini Ukraine linalojulikana kama ‘SkyUp Airlines’ linatarajia kuwa na sare mpya kwa wahudumu wake ambazo zitakua suti na ra [...]