Tag: habari za kimataifa
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 07 (Haaland bado yupo sana Dortmund, Umtiti sokoni Januari)
Klabu za Chelsea, Manchester City na Manchester United zipo kwenye kinyang’anyiro cha kumuwania mshambuliaji kinda wa Stoke City, Emre Tezgel (16) amb [...]
Mbinu 5 za kumaliza tatizo la uvivu kazini
Kama uvivu utapewa nafasi kubwa katika shughuli za kikazi na biashara, hujenga tabia ambayo ikiota mizizi inaathiri kabisa maisha ya mtu. Huenda nawe [...]
Utafiti: Namna Vitamin A inavyoweza kutibu tatizo la UVIKO-19
Chuo Kikuu cha East Anglia kinafanya majaribio ya wiki 12 ambapo tayari kuna watu maalum wamejitolea kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye utafiti huo [...]
Youtube yafunga akaunti zote za R. Kelly
Akanti za Youtube za msanii gwiji wa muziki wa miondoko ya RnB, R. Kelly zimefungwa mapema wiki hii, ikiwa ni tukio la kwanza kubwa kumfika tangu alip [...]
Mjue Mtanzania aliyehusika kufichua Skendo ya Pandora
Pandora ni skendo inayohusisha watu mashuhuri duniani na mtandao mkubwa wa shughuli haramu katika masuala ya fedha na uwekezaji. Skendo hii inahusisha [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 05 (Ranieri rasmi Watford, Sanchez njia panda Inter Milan)
Mmiliki wa Newcastle United, Mike Ashley anajua njia pekee ya kumbadili kocha mkuu wa Newcastle ni kulipa kila kandarasi ya Steve Bruce ambayo alikuba [...]
Zingatia mambo matano mara zote upandapo Uber, Bolt
Tatizo la usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam limekuwa kero kwa kipindi kirefu sana na hii ni kwa sababu ya foleni na ukosefu wa daladala hasa nyakati [...]
Boss Shell, apongeza maboresho mazingira ya uwekezaji Tanzania
'Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya mtandao na Ben Van Beurden, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell yenye makao yake mak [...]
Maagizo ya Serikali kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza mabalozi wa Tanzania nje ya nchi waimarishe biashara na nchi wanapokwenda kwani wana jukumu la kukuza uchumi wa [...]
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021.
[...]