Tag: habari za kimataifa
Afariki baada ya kulipukiwa na bomu aliloliokota
Mtu mmoja mwenye asili ya Ujerumani amefariki dunia nchini Australia baada ya kulipukiwa na bomu ambalo aliliokota ziwani.
Mtu huyo mwenye umri wa [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 03 (Cavani mbioni kujiunga Real Madrid, Fekir kutua Arsenal)
Paris St-Germain wameripotiwa kujitoa katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Norway, Erling Haaland (21) kutoka Borussia Dortmund msimu ujao (Mirror [...]
Mwanafunzi wa chuo Kikuu auawa na aliyekuwa mpenzi wake
Mvulana mmoja nchini Kenya amemchoma kisu hadi kumuua aliyekuwa mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Mercy ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu ch [...]
Kauli ya serikali kuhusu magari ya Tanzania yaliyokwama Malawi
Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake nchini Malawi inafuatilia taarifa kuhusu magari ya mizigo ya wasafirishaji wa Tanzania yaliyokwama nchini hu [...]
Magazeti ya leo Alhamis, Septemba 30, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Alhamis, Septemba 30, 2021.
[...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Septemba 29 (Leroy Sane Kurudi Ligi Kuu ya England, Ndombele kumfuata Mourinho)
Barcelona na Real Madrid watakua miongoni mwa klabu zinazomwania kiungo wa kati wa Leicester Youri Tielemans, 24, ikiwa kiungo huyo wa kati wa Ubelgij [...]
Watoto wafanyiwa majaribio ya chanjo ya UVIKO-19
Wakati mataifa yote duniani yanaendelea na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO 19) kwa kuhakikisha watu wanaendelea kupatiwa chanjo [...]
Kinyesi cha binadamu kinavyoweza kuzalisha dhahabu
Mataifa mengi ya Afrika kutokana na changamoto za kiuchumi na teknolojia ndogo, bado hayajaweza kuvuna rasilimali muhimu sana inayoweza kupatikana kwe [...]
Wawekezaji wafurika Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miezi sita, idadi kubwa ya wawekezaji wamejitokeza kuwekeza Tanzania katika sekta mbalimbali, amba [...]
Magazeti ya leo Jumapili, Septemba 26, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumapili, Septemba 26, 2021. [...]