Tag: habari za kimataifa
Kanye West aja na style mpya ya nywele
Rapa kutoka nchini Marekani, Kanye West ameamua kuja na muonekano mpya wa kunyoa nywele zake ambao umewaacha hoi mashabiki wengi huku watu wengine hap [...]
Leo katika historia: Redio ya BBC iliasisiwa rasmi
Tarehe kama ya leo mwaka 1922, Redio ya BBC iliasisiwa huko England. Redio ya BBC awali ilikuwa ya mtu binafasi, lakini mwaka 1927 redio iliwekwa chin [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 18 (Bale mbioni kutua Arsenal Januari, Ansu Fati ngoma ngumu ndani ya Barcelona)
Aliyekuwa kiungo wa Chelsea na England Ross Barkley 27, anawaniwa na klabu ya Burnley dirisha dogo la usajili mwezi Januari (Sun). Kutokana na kiwango [...]
Magazeti ya leo Jumatatu Oktoba 18, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumatatu, Oktoba 18, 2021
[...]
Zijue aina za habari ambazo huruhusiwi kuweka Facebook sasa
Mtandao wa Facebook unawatumiaji bilioni 2.85 kila mwezi. Watumiaji wa mtandao huo huutumia kwa matumizi mbalimbali kama kutangaza biashara, kuwasilia [...]
Mitandao ya kijamii yazimwa Swaziland
Serikali ya jamii ya watu wa Swazi chini ya mfalme Mswati wa III imelalamikiwa kwa kuzima mtandao nchini humo ili kuzuia watumiaji wa mitandao ya kija [...]
Waziri Mkuu azuru eneo la mauaji ya Mbunge
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson leo Jumamosi amezuru eneo ambalo Mbunge wa Chama wa Wahafidhina, Sir. David Amess amechomwa kisu na kufariki s [...]
300 wakamatwa kwa kutotumia daraja la watembea kwa miguu
Watu zaidi ya 300 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya kwa kosa la kutotumia daraja la juu la watembea kwa miguu lililowekwa kwa ajili ya kuvu [...]
Leo katika historia: Shirika la Chakula Duniani (FAO) liliasisiwa
Tarehe na mwezi kama wa leo (Oktoba 16) mwaka 1945, Shirika la chakula duniani (FAO) liliasisiwa. Shirika hilo ambalo hati ya kuasisiwa kwake lilipiti [...]
Nafasi za Kazi BBC
Job title: Project manager, A National Conversation
Location: Tanzania
Reports to: Senior project manager & editorial lead
Duration: 6 mo [...]

