Tag: habari za kimataifa

1 39 40 41 42 43 164 410 / 1639 POSTS
Magazeti ya leo Desemba 13,2022

Magazeti ya leo Desemba 13,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Desemna 13,2022. [...]
Simba na Casablanca, Yanga na TP Mazembe

Simba na Casablanca, Yanga na TP Mazembe

Draw za michuano ya klabu bingwa barani Afrika pamoja na ile ya Shirikisho barani humo tayari imekwisha wekwa wazi huku vilabu vya Tanzania vikianguki [...]
Ufafanuzi mabehewa mapya ya MGR

Ufafanuzi mabehewa mapya ya MGR

Shirika la Reli la Tanzania- TRC limetoa ufafanuzi kuhusu mabahewa mapya ishirini na mbili (22) ya reli ya zamani yaliyonunuliwa na Serikali ya Jamhur [...]
Rais Samia asamehe wafungwa 1,631, 101 waachiwa

Rais Samia asamehe wafungwa 1,631, 101 waachiwa

Rais Dkt Samia kwa ujumla wake ametoa msamaha kwa wafungwa 1,631, ambapo 1,530 kati yao watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baad [...]
Celine Dion hawezi kupona

Celine Dion hawezi kupona

Muimbaji nguli wa muziki wa sauti za pole pole katika aina za muziki za pop, chanson pamoja na Soft Rock, Celine Dion, anakabiliwa na ugonjwa usiweza [...]
LATRA yazikataa nauli za SGR

LATRA yazikataa nauli za SGR

Mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa ardhini nchini Tanzania (LATRA) yakanusha nauli zinazosambazwa mitandaoni zikitajwa kua ndio nauli zitakazotumika ka [...]
Kauli za wachezaji wa Morocco zilivyoibua hisia za Waafrika

Kauli za wachezaji wa Morocco zilivyoibua hisia za Waafrika

Hivi karibuni kumeibuka mjadala miongoni mwao waafrika hasa katika mitandao ya kijamii kufuatia kauli zinazotiliwa shaka kua ni kauli za kibaguzi kwa [...]
Brazil ‘Out’ Kombe la Dunia

Brazil ‘Out’ Kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Brazil ambayo ndio timu inayoongozwa kwa ubora wa soka duniani kwa mujibu wa viwango vya Shirikisho la mpira duniani (FIFA), imeshind [...]
Magazeti ya leo Desemba 10,2022

Magazeti ya leo Desemba 10,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Desemba 10,2022. [...]
TRC yatangaza nauli za SGR

TRC yatangaza nauli za SGR

Shirika la Reli Tanzania TRC limependekeza nauli mbalimbali za abiria katika Treni za Reli ya Kisasa SGR ambapo mapendekezo hayo yamepelekwa mamlaka y [...]
1 39 40 41 42 43 164 410 / 1639 POSTS
error: Content is protected !!