Tag: habari za kimataifa

1 47 48 49 50 51 164 490 / 1640 POSTS
Tanzania yaongoza kuwa na Nyati wengi barani Afrika

Tanzania yaongoza kuwa na Nyati wengi barani Afrika

Tanzania inatajwa kuwa nchi inayongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya nyati barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805. Hayo yamesemwa na Waziri [...]
Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti

Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti

Mikoa mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji. Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na miti asili kwa kiasi [...]
Ruzuku yazidi kushusha bei ya mafuta

Ruzuku yazidi kushusha bei ya mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, bezi hizi zitaanza kutumika kuan [...]
Rais Samia atangaza mkakati wa nishati safi ya kupikia

Rais Samia atangaza mkakati wa nishati safi ya kupikia

Serikali imetangaza dira na mkakati wa miaka 10 ya kuhamia kwenye nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2023. Akitangaza mkakati huo leo Novemba Mo [...]
Mtoto wa Davido na Chioma afariki dunia

Mtoto wa Davido na Chioma afariki dunia

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari nchini Nigeria vinaripoti kuwa mtoto wa mwanamuziki Davido Adeleke na Mpenzi wake Chioma Rowland amefariki [...]
Magazeti ya leo Novemba 1,2022

Magazeti ya leo Novemba 1,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Novemba 1,2022. [...]
Mgawo wa maji mbioni kuisha

Mgawo wa maji mbioni kuisha

Wakazi wa wilaya ya Ilala, Kigamboni na Temeke wako mbioni kusahau mgawo wa maji baada ya Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla jana kuwasha pam [...]
Tanzania ya pili utoaji chanjo ya Uviko-19 Afrika

Tanzania ya pili utoaji chanjo ya Uviko-19 Afrika

Mratibu Kiongozi Kimataifa wa Ubia wa Utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 Bw. Ted Chaiban ameipongeza Tanzania na nchini nyingine Barani Afrika pamoja na wad [...]
Korea yaipa Tanzania mkopo nafuu Sh bil. 310

Korea yaipa Tanzania mkopo nafuu Sh bil. 310

Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa mkopo wa gharama nafuu wa sh bilioni 310 kwa Tanzania kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vita [...]
Wenye visima ruksa kusambaza maji

Wenye visima ruksa kusambaza maji

Wakati Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ikitoa ratiba ya mgao wa maji, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea eneo la mat [...]
1 47 48 49 50 51 164 490 / 1640 POSTS
error: Content is protected !!