Tag: habari za kimataifa
Ujumbe wa Rais Samia kwa bodaboda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewataka waendesha bodaboda na bajaji nchini kuacha kutumika katika Vitendo vya wizi [...]
Rais wa Burundi mwenyekiti mpya wa EAC
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amechukua rasmi nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyat [...]
Uganda wavutiwa na Tanzania
Wabunge wa Uganda waliokuja kutembelea miundombinu ya nishati nchini wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Maendeleo ya Nishati na Mdibi, Dkt. Peter Lokeris [...]
Magazeti ya leo Julai 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 23,2022.
[...]
TICTS yatajwa kuwa chanzo cha matatizo kwa wafanyabiashara bandari ya Dar
Kushindwa kujiendesha kwa ufanisi kwa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) kumesababisha msongamano wa makasha hayo bandari ya Dar es Sal [...]
Ujumbe wa Rayvanny kwa Rais Samia Suluhu
Msanii na mmiliki wa lebo ya muziki ya Next Level, Rayvanny, kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa instagram ameweka ujembe kuhusu Rais Samia Sulu [...]
Rais Samia aeleza mbinu za kujitosheleza kwa chakula
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hatua muhimu zinazopaswa kuchukuliwa na mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuweza kujitosheleza kwa chakul [...]
Dkt. Mpango asisitiza wananchi kuliombea taifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 22 Julai 2022 ameshiriki ibada ya kawaida ya asubuhi katik [...]
Maoni ya ACT Wazalendo kuhusu utendaji kazi wa Kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS).
Baada ya wadau wa sekta za biashara na usafirishaji kuiomba serikali kutoiongezea mkataba mpya kampuni ya TICTS eneo la bandari ya Dar es Salaam kwa k [...]
Kauli ya Manara baada ya kufungiwa
Msemaji wa Yanga, Haji Manara ametoa kauli baada ya kufungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutojihusisha na soka kwa miaka miwili ameandika ha [...]