Tag: habari za kimataifa
Bi. Sonia afariki
Muigizaji wa filamu, Farida Sabu maarufu Bi Sonia amefariki dunia.
Taarifa iliyotolewa na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki [...]
Manara afungiwa miaka 2
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo Julai 21, 2022 imemfungia Msemaji wa Yanga Sc, Haji S. Manara kujihusisha na Soka ndani [...]
Wasifu wa Kingai
Ramadhani Kingai ameteuliwa kuwa DCI na Rais Samia Suluhu Hassan, Jumanne usiku, Julai 19,2022 akichukua nafasi ya Camilius Wamabura ambaye ameteuliwa [...]
Magazeti ya leo Julai 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 21,2022.
[...]
Rais Samia na ukombozi wa mwanamke kupitia nishati safi ya kupikia
Juni 8,2021, katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Rais Samia Suluhu Hassan alionyesha wazi imani yake kubwa kwa wanawake na nia [...]
Uteuzi Ngorongoro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
[...]
Wadau wa Bandari waomba TICTS isiongezewe mkataba
Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji [...]
Alikua anajaribu kupita magari 8
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana [...]
Nafazi za kazi Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Regional Centre on Small Arms (RECSA) linatangaza nafasi za kazi kama zifuatazo.
  [...]
Msuya ataka katiba ipatikane haraka
Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya ameishauri Serikali kufikiria na kuona namna ya kufunga mjadala wa kupatikana Katiba mpya ili watu wajenge taifa bad [...]