Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

HomeBurudani

Ujumbe kwa Simba na Yanga kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amezipongeza na kuzitaki kila heri timu za Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa Ngao ya Hisani utakaochezwa Agosti 13,2022 jijini Dar es Salaam.

Wizara imesisitiza kwamba kuelekea ufunguzi wa ligi, vilabu vyote vinatakiwa kuzingatia mambo muhimu ambayo ni nidhamu, uongozi imara kwenye vilabu na uwajibikaji.

Aidha, Wizara inaviagiza vilabu vyote nchini kutambua kuwa mambo muhimu tajwa haya mjadala (non negotiable).

 

error: Content is protected !!