Tag: habari za kimataifa
Harmonize amkimbiza Burna Boy
Katika albumu ya Burna Boy iliyotoka rasmi jana Julai 8,2022, hapo hapo aliachia Video ya kwanza kutoka katika Album hiyo. Video ya FOR MY HAND, Wimbo [...]
TCU yafungua dirisha la udahili vyuo vikuu
Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) imefungua dirisha la udahili kwa masomo ya shahada ya kwanza mwaka wa masomo 2022/2023, kuanzia jana Julai 8 hadi Agos [...]
Magazeti ya leo Julai 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 9,2022.
[...]
Rais Samia atoa pole kwa Wajapani
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Japan kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Shinzo Abe.
A [...]
Reli katikati ya maji kujengwa Tanzania
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linafanya utafiti wa kuwa na reli katikati ya maji likiwamo la Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma na kuziunganisha na viwa [...]
Nafasi za kazi
Nafasi za kazi mbalimbali. Bonyeza link zifuatazo
221 New FORM FOUR and Above Government Job Vacancies UTUMISHI at UDOM – Various Posts
Claims A [...]
Rais wa zamani wa Angola afariki dunia
Rais wa zamani wa Angola Jose Eduardo dos Santos, ambaye alitawala nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani Afrika kwa takriban miongo minne, amefari [...]
Uamuzi wa ombi lao leo
Mahakama Kuu Masijala Kuu leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa ombi la Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na wenzake 18 endapo wapewe kibali cha kufungua [...]
Atoa maagizo 7 ya kukuza na kueneza Kiswahili
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe, Philip Mpango ametoa maelekezo nane ya kukuza na kukibidhaisha kiswahili duniani.
Maelekezo [...]
Magazeti ya leo Julai 8,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 8,2022.
[...]