Tag: habari za kimataifa
M/Kiti Kamati ya Hakimiliki
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na MIchezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amemteua Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) kuwa mwenyekiti wa kamati ya haki m [...]
Fahamu madhara 5 ya kupiga nyeto
Kupiga punyeto ni jambo la kawaida. Ni njia ya asili na salama kujipatia raha ukiwa faragha.
Hata hivyo, kupiga punyeto kupita kiasi kunaweza kuat [...]
Barua ya wazi ya Rais Samia Suluhu
Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, ma [...]
Watalii 320 watua Zanzibar
Miaka miwili baada ya watalii kutoka nchini Italia kusitisha safari zao kwenda Zanzibar kutokana na janga la Uviko-19, safari hizo zimerejea baada ya [...]
Magazeti ya leo Julai 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 1,2022.
[...]
Tahadhari upepo mkali usiku wa leo
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo: Tarehe 30/06/2022
[...]
Maombi kwa mapacha
Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kufanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lak [...]
Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30
Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly amehukumiwa jana JUni 29,2022 kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyot [...]
Mambo yazidi kupamba moto
Huwenda ulikua mmoja ya watu waliodhani kwamba kitendo cha Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Harmonize kutangaza kuhusu meneja wake mpya ni utani, basi f [...]
199 namba mpya ya huduma kwa wateja
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuujulisha Umma kuwa, katika kuboresha huduma zake za mawasiliano, unabadilisha namba ya simu bila mali [...]