Tag: habari za kimataifa
Ngorongoro mambo safi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu ametoa fedha kukamilisha mchakato wa wananchi kuhama kutoka Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomer [...]
Justin Bieber apooza uso
Msanii kutoka nchini Canada, Justin Bieber ameweka video fupi Kwenye ukurasa wake wa Instagram akieleza wazi kwamba amesitisha show zake kutokana na u [...]
Magazeti ya leo Juni 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Juni 11,2022.
[...]
Ukweli kuhusu wakazi wa Ngorongoro
Serikali imesema wananchi wa maeneo ya Loliondo wapo salama ikibainisha kuwa “hakuna mapambano yoyote” kati ya polisi na wakazi hao wa kaskazini mwa [...]
Sabaya ashinda kesi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita katika kesi ya uhujumu uchumi namba [...]
Rais Samia: Serikali itaendelea kutoa ruzuku kushusha bei ya mafuta
Hakuna mama anayependa kuona mtoto wake anateseka wala kupitia changamoto, lazima atafanya juhudi ili aweze kumsaidia kwa namna moja au nyingine. Hili [...]
Samia: wapeni raha wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amepiga marufuku wafanyabiashara kupewa ankara za kodi za miaka mitano hadi sita nyuma kwa kuwa hilo sio kosa lao bali ni la mamlaka [...]
Amuua mume wake kwa kumkaba usingizini
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Maria Matheo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kumuua mume wake, Gabriel Nguwa (80 [...]
Magazeti ya leo Juni 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Juni 10,2022.
[...]
Aponzwa na biashara ya vidole
Mahakama nchini Zimbabwe imemfungulia mashtaka mtu mmoja kwa kufanya mzaha kuwa alikuwa sehemu ya kundi la watu wanaonunua vidole vya miguu vya binada [...]