Tag: juma jux

1 14 15 16 17 18 57 160 / 564 POSTS
Sonona inavyoathiri wanawake kiakili

Sonona inavyoathiri wanawake kiakili

Watu milioni nchini wanaishi na ugonjwa wa sonona huku wengi wao wakiwa wanawake. Kauli hiyo imetolewa jana Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Ummy M [...]
Rais Ruto kuwasili Tanzania leo

Rais Ruto kuwasili Tanzania leo

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto anatarajiwa kuwasili nchini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili (tarehe 09-10,Oktoba 2 [...]
Faida za bima ya afya kwa wote

Faida za bima ya afya kwa wote

Serikali imewaomba wananchi kuunga mkono suala la bima ya afya kwa wote na kupuuza vitisho juu ya suala hilo kwa kuwa ni mkombozi kwa Watanzania. K [...]
Waliokutwa na hatia ya kumiliki na kutumia bangi wasamehewa

Waliokutwa na hatia ya kumiliki na kutumia bangi wasamehewa

Rais wa Marekani, Joe Biden amewasamehe watu wote waliokutwa na hatia ya kumiliki bangi. Biden alitoa wito kwa majimbo ya Marekani kutekeleza hatua [...]
340,000 kiwango cha kujiunga Bima ya Afya

340,000 kiwango cha kujiunga Bima ya Afya

Kiwango cha kujiunga na Bima ya Afya kwa wote ni Shilingi 340,000 kwa kaya ya watu Sita akiwemo mchangiaji, mwenza wake na wategemezi wasiozidi wanne [...]

Kituo cha magonjwa ya mlipuko kujengwa Kagera

Serikali inatarajia kujenga kituo maalumu cha matibabu ya magonjwa ya milipuko Mkoani Kagera. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwal [...]
Barua ya Museveni akiiomba Kenya msamaha

Barua ya Museveni akiiomba Kenya msamaha

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameomba msamaha wananchi wa Kenya na Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokana na mijadala iliyoanzishwa na mtoto wake Jene [...]
Mradi wa gesi LPG kuanza mwaka huu

Mradi wa gesi LPG kuanza mwaka huu

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mradi wa kuchakata gesi asilia mita za ujazo bilioni 4.6 na bidhaa nyingine ya gesi ya kupikia (LPG), unata [...]
Mapato ya utalii yazidi kupaa

Mapato ya utalii yazidi kupaa

Mapato yanayotokana na utalii yameongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 (z [...]
Mikataba ya Serikali kusainiwa Ofisi ya AG

Mikataba ya Serikali kusainiwa Ofisi ya AG

Rais Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku Taasisi za serikali kuingia mikataba bila kushirikisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais Samia [...]
1 14 15 16 17 18 57 160 / 564 POSTS
error: Content is protected !!