Tag: juma jux
Rais Samia amaliza mgogoro uliodumu kwa miaka 22 Mtwara
Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha malipo ya Sh milioni 816.7 ikiwa ni fidia kwa wananchi wa Mangamba Juu manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwar [...]
Rungu la TCRA lawashukia Zama Mpya
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeitoza faini ya Sh milioni mbili luninga ya mtandaoni ya Zama Mpya kwa kosa la kuchapis [...]
Hatua atakazo fanya Mfalme Charles III
Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth, Mkuu wa zamani wa Wales, Charles, amerithi kiti cha ufalme bila sherehe yoyote. Hata hivyo, kuna idadi ya hatua za [...]
Watanzania milioni 5.5 ni mbumbumbu
Wakati dunia leo akiadhimisha siku ya Kimataifa ya Kusoma na Kuandika, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limesema [...]
Auawa baada ya kubaka mbuzi
Kijana mmoja kutoka Mtunzini huko KwaZulu-Natal, Afrika Kusini ameuawa kutokana na kichapo cha wananchi wenye hasira kali baada ya kumfuma akibaka mbu [...]
Sababu za MV. Magogoni kukwama
Taarifa kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imeeleza sababu ya kivuko cha MV Magogoni kukwamba na namna walivyokinasua.
[...]
Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu
Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugenzi Mkuu wa [...]
Mikakati ya kuinusuru NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali itachukua hatua mbalimbali ikiwemo kutibu mapema magonjwa yasiyoambukiza ili kuunusuru Mfuko wa Taifa wa [...]
Ufafanuzi kuhusu tozo
Hatimaye baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi kuhusiana na tozo za miamala ya simu zilizoanza kutozwa na Serikali Julai Mosi mwaka huu, Serikali [...]
Tanzania na Qatar kushirikiana sekta ya afya
Ujumbe wa Tanzania uliopo ziarani nchini Qatar umekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Hamad Medical Corporation (HMC) Jijini Doha, Qatar ikiwa [...]