Tag: juma jux
Harmonize kuonyesha ujuzi peke yake
Harmonize ameweka wazi kwamba tamasha lake la Afro East analotarajia kufanya mwishoni mwa mwezi huu, Mei 29 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaa [...]
Kigwangalla: Sijasema maneno hayo
Aliyewahi kuwa Waziri wa Utalii na Maliasili, Hamis Kigwangalla amefunguka na kusema kwamba taarifa iliyotolewa na akaunti moja ya mtandao wa Twitter [...]
CHADEMA yaainisha mafanikio ya ‘Join the chain’
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Benson Kigaila ameeleza mafanikio ya programu yao ya Join the chain na kusema kwamba [...]
Hali ya Corona nchini
Wizara ya Afya inaendelea kutoa taarifa kwa umma kuhusu hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini. Itakumbukwa kuwa ugonjwa huu ulitolewa taarifa kwa mara ya [...]
Diamond: Najiuliza kuna baya lolote
Baada ya Zuchu kujibu barua ya TCRA na BASATA kuhusu kufungiwa kwa video ya 'Mtasubiri', Diamond Platnumz naye amefunguka na kueleza kwamba haoni kosa [...]
Magazeti ya leo Mei 7,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Mei 7,2022.
[...]
Unakipenda kifo zaidi ya unavyodhani
"Enjoy! Maisha ni mafupi" kamsemo wanachoambiwa vijana wengi bila kujua ukubwa wake na namna unavyoweza kugharimu maisha yao.
Utasikia Jamilla anas [...]
Usilolijua kuhusu kondomu
Njia za uzazi wa mpango husaidia kuzuia mimba. Hii ina maana kutumia kondomu kimsingi ni njia ya kudhibiti uzazi. Hata hivyo, ingawa udhibiti wa uzazi [...]
Mpya kutoka Halotel
Katika kuhakikisha wateja wanapata uhakika wa kutumia huduma za mawasiliano, Kampuni ya Halotel Tanzania imeahidi kuwekeza zaidi katika kuboresha ubor [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 30,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumamosi Aprili 30,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watc [...]