Tag: nafasi za kazi
Barua ya wazi ya Rais Samia Suluhu
Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, ma [...]
Tahadhari upepo mkali usiku wa leo
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo: Tarehe 30/06/2022
[...]
Serikali inavyowathamini wanaohamia Msomera
Katika kuhakikisha wakazi wanaohama kutoka Ngorongoro wanakuwa na maisha bora zaidi katika makazi mapya Msomera, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jam [...]
Maombi kwa mapacha
Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kufanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lak [...]
Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30
Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly amehukumiwa jana JUni 29,2022 kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyot [...]
199 namba mpya ya huduma kwa wateja
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuujulisha Umma kuwa, katika kuboresha huduma zake za mawasiliano, unabadilisha namba ya simu bila mali [...]
Zawadi za Rais Samia kwa Watanzania kutoka Oman
Haijapata kutokea, ndivyo unavyoweza kusema kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika suala zima la kukuz [...]
Wanaotuma ujumbe wa jiunge na freemason wakamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao.
Kukamatw [...]
Tanzania mwenyeji tuzo za MTV Africa 2023
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na makamu wa Rais na meneja mkuu wa Paramount Africa and [...]
Madhara ya kuvaa mawigi
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ngozi kutoka Hospitali ya Lugalo, Dk. Msafiri Kombo, alisema kitendo cha wanawake kuvaa mawigi ambayo tayari yameshavali [...]

