Tag: nafasi za kazi
Simba kumuaga Wawa
Klabu ya Simba imeamua kuacha na beki wake wa kati raia wa Ivory Coast Pascal Wawa baada ya mkataba wake kumalizika kwenye klabu hiyo yenye makazi yak [...]
Ofisa Mtendaji, Mgambo wadaiwa kuua mwanafunzi kisa viatu
Ofisa Mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha kifo cha mmoj [...]
Nyani waua mtoto mchanga
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wak [...]
Sabaya kizimbani leo
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne leo Jumatatu Juni 20, 2022 wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza [...]
Zanzibar ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na timu ya Masoko ya Klabu ya Southampton ya Ligi Kuu ya Uingereza.
Wamefanya [...]
Ushuru Daraja la Tanzanite
Serikali imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Draja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka za Kibaha-Mlandizi - C [...]
Amuua mkewe kwa kumlima na jembe kichwani
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la God Sawe anatafutwa kwa kosa la kumuua mke wake Ester juzi saa 12.30 jioni kwa kumlima na jembe kichwa kisha kukim [...]
Magazeti ye leo Juni 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Juni 15,2022.
[...]
Waishio milimani kuondolewa, kupisha uwekezaji
Wakazi wa jiji la Mwanza waliojenga maeneo ya milimani wanatarajiwa kuondolewa ili kupisha wawekezaji kutoka nchini Brazil.
Meya wa Jiji la Mwanza, [...]
Askari auawa kwa mshale Ngorongoro
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewataka wananchi Wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro Kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serika [...]

